Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Ziara katika Shule ya Qur'an Tukufu, Zanzibar na tathmini ya Wanachuoni wa Qur'an mbele ya Mheshimiwa Dr. Ali Taqavi, Rais wa Al-Mustafa, Tanzania.
15 Aprili 2025 - 19:35
News ID: 1549547
Katika Picha ni Wanafunzi wa Jamiat Al- Mustafa Zanzibar wakiwa katika Kikao cha Usomaji wa Qur'an, wakiongozwa na Msomaji Mashuhuri wa Qur'an Tukufu, Samahat Sheikh Muhammad Dossa.
Your Comment